Wednesday, March 7, 2012

ZIARA YA FLORA MBASHA NCHINI MAREKANI

Mwanamuziki wa muziki wa injili Flora Mbasha anategemea kwenda Nchini Marekani hivi karibuni kwa ajili ya kufanya matamasha katika miji tofauti, na kutembelea shule mbalimbali kwa ajili ya kujifinza utamaduni wa huko na yeye kufundisha utamaduni wa kitanzania kwa wanafunzi wa shule hizo. habari zaidi utaendelea kuzipata hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment