Saturday, October 22, 2011

FLORA MBASHA HUYOOOOOOOO

[untitled.jpg]
Msanii muimbaji mahiri wa muziki wa nyimbo za injili hapa nchini , Flora Mbasha amesema kuwa hivi karibuni anatarajia kuzindua albamu mpya ya video za nyimbo zake yenye jina la ‘Furaha yako’, siku ya Sikukuu ya Pasaka ikiwa ni zawadi kwa wapenzi wa kazi zake.


Staa huyo wa Injili alisema kuwa, sehemu kubwa ya maandalizi ya uzinduzi huo imeshakamilika na siku chache zijazo atalitaja eneo la tukio itakapofanyika shughuli hiyo.

No comments:

Post a Comment