Flora Mbasha sasa ndani ya Haleluya Collection
Album ya Haleluya Collection inapatikana sokoni kuna nyimbo ambazo ni moto kwa sababu wote walioshiriki ni wakali wa nyimbo za Injili, ni mchanganyiko wa waimbaji mbalimbali ambao wanafahamika ni pamoja na Flora Mbasha (pichani), Rose Muhando, Ency Mwalukasa na marehemu Angela Chibalonza . Frola Mbasha kaimba wimbo wa adui yako, mbali na kuimba singo hiyo katika album hii, tayari ana album mbili ziko sokoni ametamba sana na wimbo wa JIPE MOYO, ALIONEWA, HAKUNA TATIZO, TANZANIA, MAISHA YA NDOA, UNIFICHE.
No comments:
Post a Comment